African Music Lyrics: Jambo bwana (folk song)

Submitted by mkenya April 20, 2007, 4:55 a.m.

Jambo bwana (folk song)

Kiswahili

Chorus

Jambo

Jambo bwana

Habari gani?

Mzuri sana

Wageni wakaribishwa

Kenya yetu

Hakuna matata


Verse

Kenya nchi nzuri

Nchi ya maajabu

Nchi ya kupendeza


Hakuna matata ad lib


Kenya yetu

Hakuna matata

Kenya wote


here's a video with the song

http://www.youtube.com/watch?v=_VWBND1ggF8

More Editions
©2012 fie.nipa Cooperative